Gazeti la Charlie Hebdo kuchapisha katuni za Muhammed tena

Gazeti la Charlie Hebdo kuchapisha katuni za Muhammed tena

Status
Not open for further replies.

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
150112204042_mahoma_charlie_hebdo_624x351_afp.jpg


​
Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la ufaransa toleo la kesho jumatano litarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Mohamed katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa"

Walioona kibonzo hicho wanasema Mtume Mohammad ataonekana akishikilia bango lililoandikwa "Je suis Charlie" maneno yenye tafsiri "mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano, baada ya shambulizi katika ofisi za gazeti hilo jumatano wiki iliyopita ambapo wafanyakazi kumi na wawili wa gazeti hilo waliuawa.

Nakala milioni tatu za gazeti hilo la kesho tayari zimeshachapishwa tofauti na kawaida ambapo huwa linachapisha nakala sitini elfu kwa wiki.


CHANZO: BBC
 
Kwa maneno rahisi ni kuwa ujinga wa waislam wachache (jihadist) wanasababisha mtume wao sasa kudhihakiwa kiukweliukweli,

Usifanye mzaha na wajuzi wa mizaha kwani itakugharimu
 
Kwa maneno rahisi ni kuwa ujinga wa waislam wachache (jihadist) wanasababisha mtume wao sasa kudhihakiwa kiukweliukweli,

Usifanye mzaha na wajuzi wa mizaha kwani itakugharimu
Wewe punguani kweli kuna mtu kawakataza wao waendelee kudhihaki tu watu wa shoka wao wanauwa tu.
 
Kwa maneno rahisi ni kuwa ujinga wa waislam wachache (jihadist) wanasababisha mtume wao sasa kudhihakiwa kiukweliukweli,

Usifanye mzaha na wajuzi wa mizaha kwani itakugharimu

Duh halafu eti watatafsiri kwa lugha 16, na wanatayarisha nakala milioni, inawezekana baadaye kutakua na msururu wa makatuni ya mwamedi dunia yote, ila mimi Mkristo lakini sioni kama wanachokifanya ni sawa, sio vizuri kukejeli dini.
 
wameiweka ki promo but cha moto watakiona! Uislam unaisaidia sana Afrika...fikiri kwa mapana utaelewa!
 
Binadamu anajisifu kutoa uhai wa binadamu mwingine wakati kila nafsi itaonja mauti.
 
Uwezi kuogopa kuchora katuni kwa sababu ya kuuawa, na mimi nitatafuta copy moja
 
Kwa maneno rahisi ni kuwa ujinga wa waislam wachache (jihadist) wanasababisha mtume wao sasa kudhihakiwa kiukweliukweli,

Usifanye mzaha na wajuzi wa mizaha kwani itakugharimu

Ni kweli mizaha hugharimu, tena uhai wa watu
 
Kwa maandamano makubwa ya Jana, dunia nzima imeujua Uislam, nadhani watoto wa kizungu wakikutana na mwarabu mwenye madevu wataogopa sana
 
Any one killed for insulting Islam or any Prophet of God, So be it.
 
Hao waandamanaji wangetupia picha iliyochorwa kwenye mabango yao ili tujue walikua serious.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom