Kwahiyo udaku umehalalishwa wapi kusema uongo? Kuna Katiba au sheria yoyote inayoruhusu gazeti la udaku kuongea kitu ambacho hakipo? Sheria ya makosa ya kimtandao na Habari inashughulikia makosa yepi na yepi haihusiki?Hilo ni gazeti la udaku we hujui. Mimi sijawahi kuamini chochote kutoka kwenye magazeti ya namna hiyo
Sasa kama miaka yote wanaandika uongo na wanaachwa huoni kama wamehalalishwa kama si kuendekezwaKwahiyo udaku umehalalishwa wapi kusema uongo? Kuna Katiba au sheria yoyote inayoruhusu gazeti la udaku kuongea kitu ambacho hakipo? Sheria ya makosa ya kimtandao na Habari inashughulikia makosa yepi na yepi haihusiki?
mzee mi nimependa kujuaa tu aina ya simu yako manake hiyo miaplication hapo juu ni shida mpaka cnn,startimes we hatareeeNimepitia magazeti yote lakini nimeshangazwa na habari zilizopo kwenye gazeti hili leo 03 Nov 2016 kama zina ukweli wowote! Mwenye taarifa kamili atujuze; wasiwe wanatuchafulia mzee wetu bure; watu naimani zetu! Nimechoka kusikia Habari za kusemwa mzee wetu, mara mzee Wa upako amimina risasi hewani, mara mzee yule kafanya hivi; jamani huyu mzee muacheni atuhudumie waumini wake Tunaimani naye; kwenu kama anaonekana mbaya; lakini kwetu huyu mzee ni maraika; Mbali na neno tunajifunza sana ushauri wake. Muacheni atuhudumie!
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA
View attachment 428510
Mimi mwenyewe nashangaambona hawasema mzee ww upako anatujengea barabara huku