Gazeti jipya la Juma Pinto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti jipya la Juma Pinto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, May 7, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  wa JAMBO publications ambao walipewa tenda ya 5 years kuitangaza Tanzania. Jamani habari zilizoenea kwenye duru za waandishi ni kuwa keshapata go ahead from ofisi kubwa aanzishe gazeti lake kwa kufuata nyayo za Kubenea na wengineo

  sasa mindhali huyu Pinto kwanza ni shabiki mkubwa wa Chelsea (according to the e-mail he sent to Abramovich) na pili kwa sababu ni mwana JF nimeona itakuwa si vibaya kuunga mkono na miguu mwenzetu kwenye hili labda mwenyewe akiingia anaweza kutufahamisha jina la gazeti na lini litatoka kama ndio bwana mkubwa keshalibariki

  nawasilisha

  [​IMG]
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Icadon upo eeeh?
   
 3. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kidogo umeniacha kando:pinto ni MWENZETU kwa "uanachama" wake JF (I didnt know abt that),ushabiki wake kwa Chelsea au u-Tanzania wake?

  Tukiacha hilo kando,kwa mujibu wa maelezo yako ni kwamba jamaa
  ...sasa hili la
  linatoka wapi tena?

  Sijawahi kuona post hata moja ya Pinto kwa jina lake as Juma Pinto,sasa nadhani itakuwa rahisi zaidi kwa Rostam kutangaza hadharani kuwa ndie mmiliki wa Kagoda kuliko huyo Pinto kuja hapa kuthibitisha taarifa zako hizo (including kumwaga siri-TOP SECRET- kwamba bwana mkubwa ameshalibariki).

  Au ndio ulikuwa unatufikishia ujumbe on behalf of Mr Pinto?If so,msg delivered!
   
 4. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Njisi ya mienendo yako ya hivi karibuni humu jamvini naona hautaki kabisa hilo gazeti linunuliwe. Watu wakiunganisha na kuona gazeti linatangazwa na kuwadi wa mafisadi watadhani kuwa basi nalo ni gazeti la mafisadi na hawata linunua kabisa
   
 5. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #5
  May 7, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  SERIOUS ALLEGATION mzee unatakiwa na wewe ujitetee hapa kwa kutoa ushahidi au na wewe utuambie SHALOM ni kuwadi wa nani eeeh kwani hujui ndio style ya zama hizi?????

  Ukitaka kujua kama ni la mafisadi au la kasome taarifa ya MKAGUZI MKUU juu ya JAMBO PUBLICATION.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bwana SHALOM, do you really LOVE JESUS?
  Napatwa kigugumizi kidogo hapo...
   
 7. C

  Capt Maliki PanAfric Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gazeti kauziwa Rostam
   
 8. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya nasubiri nyuzi za ukweli tu.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2013
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kumbe Juma Pinto alianza kujadiliwa kitambo humu!
   
 10. M

  Magesi JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2013
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh tutajua mengi
   
 11. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2013
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  naanza kukumbuka wakati habari za wizi wa EPA ulipoibuliwa bungeni chanzo kikiwa 'habari za mitandao' na hasa jf. Mtu mmoja 'makini' wakati huo akiwa ndiye mshika rungu akapondelea mbali lakini sasa ndio anasimamia na washirika wake ili aende Ikulu.
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2013
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mi ndo naona leo
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2013
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG]
   
 14. 2

  2pad JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2013
  Joined: May 10, 2013
  Messages: 327
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Naombeni kuuliza hi Saed Kubenea anaandikia gazeti gani na je ndo mmiliki wa gazeti Mawio. maana wandishi wa MwanaHalisi ndo wa Mawio ila simuoni kubenea.
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2013
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Na Mwandishi wetu
   
 16. h120

  h120 JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2013
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,798
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  Hilo gazeti litakuwa na katuni?
   
 17. uvugizi

  uvugizi JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,036
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  JF uwe makini nayo lisemwalo lipo na kama halipo wamelipuuzia tu, lakini yote ni kweli tupu
   
 18. Frank Joseph

  Frank Joseph Senior Member

  #18
  Aug 28, 2013
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na mwandishi maalum.
   
 19. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2013
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Naam,yeye ndiye mmiliki,mtafute nawe utampata,anakwenda kwa jina la "Mwandishi Maalum"
   
 20. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2013
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ningependa kujua profile yake japo kwa ufupi huyo mmiliki wa gazeti tajwa hapo juu. Tuachilie mbali ile sifa ya mtu wa totoz na bata za hapa na pale hiyo kawaida yetu waafrika.
   
Loading...