Gazeti gani hulipendi?

Alikaa nyerere na kaunda wakisoma gazeti la UHURU lililoshapishwa nchini Tanzania uliyanga na kuzimbabwe.
 
Zamani enzi za mwalimu magazeti ya kiswahili yalikuwa matatu tu.1.UHURU 2.MZALENDO la siku ya jumapili 3.MFANYA KAZI ya kiingereza yalikuwa 1.DAILY NEWS na 2.SUNDAY NEWS la siku ya jumapili.Kwa siasa za wakati ule hakuna gazeti au mtu alikuwa anamiliki gazeti binafsi.Tulikuwa tumeaminishwa kuwa mtu hawezi miliki chombo chochote cha habari ni serikali na chama tu kwa hivyo tulikuwa tunalishwa kile kilichoandikwa hata kama hupendi maana habari kabla haijaandikwa lazima iwe censored na vyombo husika siku hizi kuna magazeti lukuki mpaka ya udaku na unaandika unavyotaka ili mradi usivunje sheria.Kuliibukaga gazeti linaitwa FAHARI hili angalau lilikuwa na mrengo tofauti ila liliuwa linaangaliwa kwa macho matatu
 
Hata katika enzi hizo za kula lazima kuoga hiari, Gazeti langu lilikuwa ni Mfanyakazi hadi walipomuua Stan Katabalo baada ya kuibua kashfa ya Loliondo gate.
 
Tanzania Daima na Mwana halisi...
 


Nikinunuaga chapati nikafungiwa kwenye gazeti nikiangalia Gazeti hilo nakutaga ni hilo gazeti la hao boko haram wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…