Huyu ni mfanyakazi wao uhuruTanzania daima
Kuna Gazeti moja ambalo hata wamiliki wake hawalisomi "UHURU".
Mwaka Jana nilikuwa wilaya moja mkoa Wa RUKWA akapita muuza magazeti. Japo kule Gazeti zinachelewa nikaona nichukue moja. Nikanunua Mwananchi lakini nikaona Gazeti la Uhuru, nikamuuliza hili Gazeti linanunuliwa? Akasema huwa analetewa nakala 10 tu lakini akibahatika anauza moja. Cha ajabu alichonieleza, Hata Mkuu Wa wilaya ambaye ni kada ananunua Gazeti zaidi ya 3 lakini Uhuru si mojawapo.Na sijui kama UHURU Publications bado wanafanya biashara au wanachapisha tu kwa ajili ya kulinda jina? Sijawahi kwa muda mrefu kuona mtu anasoma gazeti la Mzalendo, Uhuru! Au ndiyo sheria kuwa yanaenda kwenye ofisi za serikali na Chama
Wanajua hakuna cha maana watakachopata humoMwaka Jana nilikuwa wilaya moja mkoa Wa RUKWA akapita muuza magazeti. Japo kule Gazeti zinachelewa nikaona nichukue moja. Nikanunua Mwananchi lakini nikaona Gazeti la Uhuru, nikamuuliza hili Gazeti linanunuliwa? Akasema huwa analetewa nakala 10 tu lakini akibahatika anauza moja. Cha ajabu alichonieleza, Hata Mkuu Wa wilaya ambaye ni kada ananunua Gazeti zaidi ya 3 lakini Uhuru si mojawapo.
ACHA nikae KIMYA...!
Wapo kwaajili ya kulinda ajira zao tu.Na sijui kama UHURU Publications bado wanafanya biashara au wanachapisha tu kwa ajili ya kulinda jina? Sijawahi kwa muda mrefu kuona mtu anasoma gazeti la Mzalendo, Uhuru! Au ndiyo sheria kuwa yanaenda kwenye ofisi za serikali na Chama