I definitely would not entertain the idea of being gay but at the same time this is the 21st century why would i be concerned with what two consenting adults do in their privacy? Since when did killing become a virtue?
Oh nooo... who are we to judge others?
Hata Mungu hapendi watu wahukumiane
So long as wamekubaliana wenyewe kule
kwanini watu wawaingilie? this is sad...
and now that he is dead, wanafaidi nini?
Makanisa, viongozi wa siasa, wasomim
hivi mjnayaona haya? you are accomplices!
Kwa hiyo wewe kama wewe unaona walicho kifanya ni sahihi?ushoga na usagaji ni machukizo kwa Mungu kama ilivyo uuaji, sasa unataka kanisa lifanye nini? au unazungumzia kanisa kama fashion ambapo siku hizi baadhi yao kuna wachungaji mashoga. Kanisa ni hekalu la Mungu, sehemu takatifu ya kumuabudu Mungu, pia kanisa ni watu wa Mungu, katika kumcha Mungu hutakiwi kuwa shoga wala muuaji. Kanisa la kweli litakuambia acha dhambi zote(ikiwemo ushoga na uuaji) umrudie Mungu, naye atakurehemu.
It was on the road side, there was no privacy! Yaks!
The area is described as ‘deserted with bushes and a dumping site.'
Kwa hiyo wewe kama wewe unaona walicho kifanya ni sahihi?
Kumbuka wakati watu walitaka kumtupia mawe yule kahaba
Bwana yesu alisema nini? wewe ulie hapo ni msafi, huna dhambi?
Njia pekee ya kupuna ni Mungu. Sasa kuwaua kunasaidia nini?
Hilo kanisa linalo encourage kuua watu badala ya kuwahubiria
ni kanisa gani, nambie? Sometimes someni japo kidogo bibilia!
ad absurdum!Nisome tena vizuri, utagundua nimeandika ushoga na uuaji ni dhambi, hivyo hakuna encouragement ya mauaji.
Kunamakosa ambayo uzuwiaji wake lazima uondoe mzizi wa tatizo hilo, mambo ya ushoga mtu hawezi kuacha kwa kuhubiriwa, sasa ili kukomesha tabia hiyo ni kuwauwa walio athirika na tabia hiyo na hiyo itakiwa ni onyo kwa wengine.Kwa hiyo wewe kama wewe unaona walicho kifanya ni sahihi?
Kumbuka wakati watu walitaka kumtupia mawe yule kahaba
Bwana yesu alisema nini? wewe ulie hapo ni msafi, huna dhambi?
Njia pekee ya kupuna ni Mungu. Sasa kuwaua kunasaidia nini?
Hilo kanisa linalo encourage kuua watu badala ya kuwahubiria
ni kanisa gani, nambie? Sometimes someni japo kidogo bibilia!
Between being gay and being a cold blooded murderer, which is worse?