Gay Bomb

Kweli wameamua kutufanya mapunga bila kupenda
Hebu fikiria hiyo ndege ikipita usiku DSM na kumwaga mabomu ki kimya kimya, je ni nani atakayepona?
 
I did read abot this a while ago...
Ila the US army has allowed gay to enroll,
hii inaweza kuwa-distruct wenyewe kwanza.

Hapo sasa!

Itakuwa bomu walilianzia majaribio nyumbani.
 
Usiniambie CUF inakubalika sana na Wamarekani kiasi watengeneze bomu la kuwasaidia kwenye kampeni!
 
Population duniani inawasumbua sana wazungu
Thats why wanataka tuwe gays tusizae
wanataka tufe kwa vita, etc
 
Population duniani inawasumbua sana wazungu Thats why wanataka tuwe gays tusizaewanataka tufe kwa vita, etc
wanataka watu wawe ma Boflo? ha ha ha ha ha ha.
 
you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11

This is P O S T O F T H E D A Y.
 
ulikuwa hutaki wawe hivyo wakati hapa kwenu chama cha CHOKA UADILIFU FARIKI kimetoa sera yake na dhana yake kwa suala hilo, usijishangae wewe mwenyewe unawashangaa hao mbona majanga
Hiyo kali sana. Imagine wanajeshi wanakuwa mashoga kwenye frontilne.
 
sipati picha Babu X anachezewa uwani!..!
kabaaaang!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…