Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

Naunga mkono hoja,haiwezekani uchumi wa mabenki ukue huku wakopeshwaji wakinyonywa kwa mariba makubwakubwa,huu ni uwizi kabisa,inawezekana anakula na wakurugenzi wa mabenki wasitoze riba sahihi,nchi hii riba za mikopo yote hazikutakiwa kuzidi 10%,wakopaji wananyonywa sana
Wakati mwingine ni kwamba hawajui tu.
 
Hivi mnafikiri anateuliwa mtu asiyefaa kwa bahati mbaya?
HIZO SIFA ZAKE ASIZOFAA NAZO NDO ZINAZOTAKIWA SASA!

Yani vile mnavotaja madudu yake na kuonesha anavyoshindwa kufanya chochote ndo mnampa CV kaaaali, kimsingi HAITAKIWI ANAYEFAA KUWA GAVANA!
Watapigaje sasa?
Thiiiiiink!
 
Haya waliweka wanayemtaka,,tumeishia kukoswa hata Dolla za kuagiza sukari
 
Back
Top Bottom