Gavana Mweusi ashinda Uchaguzi Massachusetts

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Gavana Mweusi wa Massachusetts Ashinda Uchaguzi!



Gavana Deval Patrick, ameshinda katika uchaguzi wa jana. Ataongoza mkoa wa Massachusetts miaka minne zaidi. Gavana Patrick ni mweusi wa kwanza kushika wadhifa huu na kuwa kachaguliwa tena inasema mengi. Yuko katika chama cha Democrats. Kwa kweli watu wengi hawakutarajia kama atashinda. Aliwaudhi sana baadhi ya wazungu hapa na siasa zake za kupendelea wahamiaji. Lakini ukweli Gavana Patrick amejitahidi sana kunyanyua Massachusetts katika uchumi mbaya. Haya kapata miaka minne ya kuongoza Massachusetts. Wazungu kibao wametangaza kuwa wataondoka Massachusetts na kuhamia mikoa mingine.
 
Back
Top Bottom