jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,774
- 7,681
Kuishi na kufa yote ni mipango yake Mungu,kiburi Cha uzima kisikufanye ukasahau kua kuna Mwenye Dunia yake na wala siyo hao Wazungu Kama unavyozania!!Daah Majabali yanazidi kudondoka aisee Wazee kama hawa ndo wanaumia sababu ya Upuuzi wa mjuaji mmoja.. Sayansi haidanganyi yanii ni muda sasa wa Viongozi kubadilika yani lasivyo wazee wetu wataisha. Thamani na muda unaotumika kutengeneza Proffesa mmoja ni kubwa sana alafu leo kitoto wanakufa kama kuku.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app