TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

Daah Majabali yanazidi kudondoka aisee Wazee kama hawa ndo wanaumia sababu ya Upuuzi wa mjuaji mmoja.. Sayansi haidanganyi yanii ni muda sasa wa Viongozi kubadilika yani lasivyo wazee wetu wataisha. Thamani na muda unaotumika kutengeneza Proffesa mmoja ni kubwa sana alafu leo kitoto wanakufa kama kuku.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kuishi na kufa yote ni mipango yake Mungu,kiburi Cha uzima kisikufanye ukasahau kua kuna Mwenye Dunia yake na wala siyo hao Wazungu Kama unavyozania!!
 
Kwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki.

Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu.

Profesa Ndulu alihudumu nafasi ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 2008 - 2018.

Alizaliwa Januari 23, 1950 (Miaka 71).

View attachment 1708828
Profesa Benno Ndulu enzi za uhai wake
Apumzike kwa amani
 
walikua wanakufa kwa kasi hii? mbona mna[enda kujitoa fahamu? ndani ya wiki moja tumewapoteza maalim seif, kijazi, Likwilile, Ndulu na wengineo
Zingatia na umri wao pia, age imekwenda pia!!
 
Acha kudanganya watu,kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslai ya watu Fulani.halafu kuna dini,ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jambo
Jambo gani hilo!?
 
Watu wa Mbweni tanzia zimekuwa nyingi ndani ya mwezi huu, sijui shida nini aise, mrudieni Mungu. RIP gavana
 
Mwaka shetani huu
Samahani ndugu Myetu mwaka hauna kosa kwani ni kama nyakati zingine zozote, bali sisi wanadamu ndiyo wenye matatizo. Mwaka haujaleta virusi wala magonjwa ya aina yoyote, kilichobaki tuchukue tahadhari kwani Corona ipo na inaondoa uhai na magonjwa mengine pia yapo na yanaondoa uhai. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kuwa siyo nia yangu.
 
Kila mtu atakufa kwa siku aliyopangiwa, ila kujirusha mbele ya simba halafu utarajie kutoka mzima kisa mungu hiyo sio busara (some have tried believing they are the second Daniel’s, it dint end well).

Precaution measures against COVID are necessary it’s just common sense.
 
Back
Top Bottom