VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Hili jambo zito, Gavana yupo sawa pesa nyingi ya kigeni kupitia traders, huwa haipitii bank. Hivyo serikali BOT kutoratibu. Mfano mfanyabiashara k.koo. wa jumla, Anauza kwa Tzs, akitaka kulipa manunuzi nje, anatoa cash bank tsh kisha ananunua dollar mtaani. Na broker wapo, kisha endapo anasafiri anajivika Bomu kusafiri na USD. Cash!