Kwani yeye ni super human? Wewe akili yako ina kazi gani?? Au imefungiwa somewhere??
Mfumo wa ujamaa huwa ni kurudi nyuma sio kwenda mbeleHivi tutaanza hatua za kwenda mbele lini? Naona tunapiga mark time tu na huyu naye ataondoka kashatufanyia mazoezi yakutosha.
Kuwa gavana sio kwamba anajua kila kituUmbea tu ndo anaweza asijue. Lakini mambo ya uchumi wew huwezi kumshauri
Alikuwepo mjiolojia aliyebobea kwa kiwango cha kimataifa Prof Muhongo, unamkumbuka? Hebu tukumbushe mlimfanyaje vile??
cha ajabu sasa na kodi yao wanaitakaIsitoshe ni serikali ya jamhuri ya muungano ndio iliyotoa Leseni kwa hawa wadau wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni.
Acha ushabiki maandazi jielemishe kwanza kabla ya kucommentHuyu Gavana ni wa ajabu kabisa, kupunguza Bureau de Change haiwezi kuliongezea Taifa fedha za kigeni wala kuimarisha uchumi kwa kuongeza uzalishaji ,kuuza bidhaa /mazao nje ya nchi au nguvu ya shilingi kulingana na dola, euro. Bureau de Change kazi yao ni kutoa huduma kwa customers.
Wewe somo ulilo faulu ni stadi za kazi leo unataka kubisha na gavana kwanini usiende kubuni picha nzuri ukachora ukapata pesa siyo vizur kubishana na wakubwa zakoHuyu Gavana ni wa ajabu kabisa, kupunguza Bureau de Change haiwezi kuliongezea Taifa fedha za kigeni wala kuimarisha uchumi kwa kuongeza uzalishaji ,kuuza bidhaa /mazao nje ya nchi au nguvu ya shilingi kulingana na dola, euro. Bureau de Change kazi yao ni kutoa huduma kwa customers.
Kuwa gavana sio kwamba anajua kila kitu
Ndio maana kuna manaibu magavana
Ushauri wa Chifu Nanga ndo wa kitaalamu au wa kijinga?Lakini si kashauriwa na wataalamu kwa nyie mnasemaje?
Atoe ushauri tumwelewe siyo kulaumu huku wote tutakuwa shimoniKwani yeye ni super human? Wewe akili yako ina kazi gani?? Au imefungiwa somewhere??
waache wajidanganyeHuyu Gavana ni wa ajabu kabisa, kupunguza Bureau de Change haiwezi kuliongezea Taifa fedha za kigeni wala kuimarisha uchumi kwa kuongeza uzalishaji ,kuuza bidhaa /mazao nje ya nchi au nguvu ya shilingi kulingana na dola, euro. Bureau de Change kazi yao ni kutoa huduma kwa customers.
gavana huyu? yeye anajua mambo ya uchumi zaid ya tax law?.......Hata iweje haitakaa itokee ukafahamu mambo ya uchumi kuliko gavana wa bank.wewe jikite kwenye utalaam wako na stadi nyingine mambo ya uchumi waachie wenyewe.wakati mwingine Sio lazima kuongea unaweza kukaa kimya
Mtaalam gani, Jiwe?Lakini si kashauriwa na wataalamu kwa nyie mnasemaje?
Hao ni vijana wa ufipa. Kila kitu wao wanajua zaidi. Kubishana ndio jadi yao...hawana hoja bali wana vioja.Arusha kulikuwa na maduka 37 ya kubadilishia fedha ambayo hayana leseni wala kutambulika, leo yamefungwa halafu kuna watu wanalalamika hivi ni nani aliyewaroga?