Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 11
Swali ni alikufa au hakufa?Halisi, umeniwahi tu ndugu yangu, kwani na mimi nilikuwa nataka niweke mambo haya mchana baada ya watu kula Eid kidogo. Kwa vile umelileta hapa na mimi nikuunge mkono. Kama vile mchezo wa Chess.. you move, I move! hadi tuhakikishe watawala wanakuwa kwenye checkmate! Anyway, wana JF tumuombee Balali apone na arudi nyumbani. Hivi karibuni afisa wa ngazi za juu toka Usalama alikuwa huku kijijini na alishangazwa sana kumuona Balali bado mzima na anadunda!
Kwenye sakata la BoT Balali anaweza kutolewa kafara kama ya Isaka! Endapo Balali atanyamaza milele kama alivyonyamaza binti "YULE" basi jaribio la kuziba upande wapili wa hoja litafanikiwa.
Ni wazi kuwa kati ya watu wote waliohusika na uchotaji wa fedha benki kuu Gav. Balali yuko kwenye nafasi ya pekee kuweza kujibu mashambulizi yoyote ambayo yameandaliwa dhidi yake.
Jaribio lolote lile la kumlazimisha ajiuzulu au kumtangaza kajiuzulu au kwa namna yoyote kumfanya asirudi nyumbani mzima (kule nyuma alipoondoka tu niliandika mahali fulani kuwa msishangae akirudi kwenye box) ni jaribio ambalo lazima lipingwe, likataliwe n.k. Endapo Balali ataamua kujiuzulu au kuachia ngazi ni lazima awe katika uhuru wote wa kusema anachojua.
Ni kwa sababu hiyo basi ndugu zangu wa JF, tumuombee apone na awe huru kuzungumza. Naomba niingie kwenye rekodi na kusikika kusema kuwa BALALI AACHWE AZUNGUMZE NA ASINYAMAZE/ASINYAMAZISHWE MILELE!
M. M.
Mzee mzee ....muda unakimbiaHalisi, umeniwahi tu ndugu yangu, kwani na mimi nilikuwa nataka niweke mambo haya mchana baada ya watu kula Eid kidogo. Kwa vile umelileta hapa na mimi nikuunge mkono. Kama vile mchezo wa Chess.. you move, I move! hadi tuhakikishe watawala wanakuwa kwenye checkmate! Anyway, wana JF tumuombee Balali apone na arudi nyumbani. Hivi karibuni afisa wa ngazi za juu toka Usalama alikuwa huku kijijini na alishangazwa sana kumuona Balali bado mzima na anadunda!
Kwenye sakata la BoT Balali anaweza kutolewa kafara kama ya Isaka! Endapo Balali atanyamaza milele kama alivyonyamaza binti "YULE" basi jaribio la kuziba upande wapili wa hoja litafanikiwa.
Ni wazi kuwa kati ya watu wote waliohusika na uchotaji wa fedha benki kuu Gav. Balali yuko kwenye nafasi ya pekee kuweza kujibu mashambulizi yoyote ambayo yameandaliwa dhidi yake.
Jaribio lolote lile la kumlazimisha ajiuzulu au kumtangaza kajiuzulu au kwa namna yoyote kumfanya asirudi nyumbani mzima (kule nyuma alipoondoka tu niliandika mahali fulani kuwa msishangae akirudi kwenye box) ni jaribio ambalo lazima lipingwe, likataliwe n.k. Endapo Balali ataamua kujiuzulu au kuachia ngazi ni lazima awe katika uhuru wote wa kusema anachojua.
Ni kwa sababu hiyo basi ndugu zangu wa JF, tumuombee apone na awe huru kuzungumza. Naomba niingie kwenye rekodi na kusikika kusema kuwa BALALI AACHWE AZUNGUMZE NA ASINYAMAZE/ASINYAMAZISHWE MILELE!
M. M.
Huwezi kuficha siri ya wizi! Any plot that is against national interest does not qualify to be a national secret. Hao usalama waulizwe, kwa nini mkataba wa Buzwagi, Richmond nk nayo ilikuwa siri lakini tulipoitoa hawajatukamata? Kwani nyaraka za BOT alizoanza kuanika Dr Slaa nyingine si siri, mbona usalama wa taifa hawamkamati hususani kwa kuwa na ripoti yao ya usalama wa taifa waliyompelekea Lowassa ambayo imeandikwa SIRI kwa herufi kubwa? Siri inaweza kuwa kati ya wezi na wezi, lakini hakuwezi kuwa na siri kati ya wezi na wenye mali! Binafsi sijaipata hiyo ripoti, ila nimepata shauku zaidi ya kuitafuta.
Nami nawatakia wote Noeli na Mwaka mpya wenye upendo, furaha, jitihada na mafanikio.
JJ