Gavana aliyeiba pesa asamehewa Nigeria

Gavana aliyeiba pesa asamehewa Nigeria

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
Vyombo vya sheria
nchini Nigeria
vimemsamehea gavana
wa zamani Diepreye
Alamieyeseigha
aliyeshutumiwa kuiba mamilioni ya dola
kutoka kwa serikali.
Msamaha huo ulitolewa
na baraza la serikali,
linalojumuisha rais
Goodluck Jonathan ambaye aliwahi
kuhudumu chini ya
bwana Diepreye. Mwandishi wa BBC
nchini humo amesema
kuwa hatua hiyo,
ambayo imepingwa
vikali na wanaharakati
dhidi ya ufisadi, inamaana kuwa bwana
Diepreye ataruhusiwa
kuwania wadhifa wa
kisiasa. Gavana huyo wa
zamani wa jimbo la
Bayelsa ambaye alitiwa
nguvuni nchini
Uingereza mwaka wa
2005 alikwepa kifungo kwa kukimbilia nchini
Nigeria akiwa amevaa
mavazi ya kike. Amehudumu siku mbili
tu ya kifungo cha miaka
miwili aliyohukumiwa.

Source by:BBC
 
Back
Top Bottom