Hawa jamaa kweli washamaliza kila kitu,wakati sisi tunaahidiwa masoko ya mitumba na magamba hawa hawajui vitambaa wavifanyie nini matoleo yake ndio haya....asnteni kwa nyinyiem kutuletea ukoloni mamboleo(uwekezaji)mtuibie mpaka tushindwe kushona hata chupi...
Ninavyoelewa mimi, gauni la Harusi na shela ndefu ilikuwa kwa ajili ya wanawake wanaoolewa bikira. Je hiyo sheria au utaratibu ungefuatwa leo ni wangapi wangevaa shela? percentage wise?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.