Gas vs Mchina jiko la mafuta

Gas vs Mchina jiko la mafuta

Debe la mafuta gassoline linatumika muda sawa na mtungi mdogo wa ltr15.

Bei ya gassoline ni shs46,000/=@20 ltrs.
Bei ya gas ni aprox shs 59'000/= @15ltrs.
Hivyo matumizi ya mafuta ni nafuu zaidi.

Lakini kwa upande wa 'spark' za gas zina nguvu zaid ya mafuta ya taa.

Ukitaka kuishi kwa anasa zaidi tumia gas.
 
Mkuu unataka kusema matuta ni bora kuliko gas

Gas ni bora kuliko mafuta kwa sababu gas ina spark kubwa kuliko mafuta. Ila unafuu wa mafuta ni kwenye muda wa matumizi vs gas. Na gharama za manunuzi kuna unafuu kuliko gas kama nilivyoainisha kwenye post yangu
 
Zamani nilikuwa nanunua mafuta lita 2 shilingi 5k
Natumia week hadi week mbili(sipiki mara kwa mara)
Gas mtungi mdogo shilingi 20k natumia miezi miwili hadi 3(pia sipiki mara kwa mara)

Kihesabu gas ni nafuu mno + ufanisi kwangu niligundua.
 
Gas ni nafuuu sana, kama unatumia wewe, lakini kama ni family yenye uelewa mdogo gas ni gharama kwa sababu anaweza acha kufunga vizuri ikaisha. Mafuta nilikuwa natumia mafuta ya 18,000/- kwa miezi 2 lakini gas ya 20,000/- natumia kwa miezi 3
 
Ni kweli nimetolea mfano kwa mimi msela. Kwenye familia ni changamoto kwa kweli hasa usimamizi wa mama ukiwa mbovu.
Gas ni nafuuu sana, kama unatumia wewe, lakini kama ni family yenye uelewa mdogo gas ni gharama kwa sababu anaweza acha kufunga vizuri ikaisha. Mafuta nilikuwa natumia mafuta ya 18,000/- kwa miezi 2 lakini gas ya 20,000/- natumia kwa miezi 3
 
Debe la mafuta gassoline linatumika muda sawa na mtungi mdogo wa ltr15.

Bei ya gassoline ni shs46,000/=@20 ltrs.
Bei ya gas ni aprox shs 59'000/= @15ltrs.
Hivyo matumizi ya mafuta ni nafuu zaidi.

Lakini kwa upande wa 'spark' za gas zina nguvu zaid ya mafuta ya taa.

Ukitaka kuishi kwa anasa zaidi tumia gas.
😯🤔
 
Back
Top Bottom