maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,852
Tuache ushabiki tuongelee uhalisia Kati ya gesi na jiko la mchina la mafuta kipi ni bora kwa mtanzania
Tofauti zilizopo kati gesi na jiko la mafuta ni zipi hapo tuelezee kuanzia
_gharama
_uharaka katika kupika
_mwonekano
Uchafuzi wa vyombo hiyo inatokana na mtu mwenyewe alivyo kwa hiyo tusilipe hilo kipaumbele
Mi nimetumia vyote kwa wakati tofauti tofauti nimeona jiko la mafuta lina nafuu kwene gharama,kwene kuharakisha chakula vyote kama sawa tu
Karibuni tupeane mawazo mapya