Lupyeee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 2,683 Reaction score 2,821 Oct 7, 2016 #61 DJ aliyenaswa anatorosha mabilioni nje ya nchi alishazibadikia gia angani. Kama chama aliweza kuuza mchana kweupe mbele ya wild beast sembuse magari ?? Already sold.
DJ aliyenaswa anatorosha mabilioni nje ya nchi alishazibadikia gia angani. Kama chama aliweza kuuza mchana kweupe mbele ya wild beast sembuse magari ?? Already sold.
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,434 Oct 7, 2016 #62 Rhobi1961 said: wewe unayehoji mali ya chama ni nani ndani ya CHADEMA?? Click to expand... Mimi ni mwananchi tu mlipa kodi! Na kodi yangu mlitumia kununua hizo gari
Rhobi1961 said: wewe unayehoji mali ya chama ni nani ndani ya CHADEMA?? Click to expand... Mimi ni mwananchi tu mlipa kodi! Na kodi yangu mlitumia kununua hizo gari
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,434 Oct 7, 2016 #63 kababu said: lingine hili huku liko juu ya mawe mwezi wa sita sasa Click to expand... Hazikuwa hivi mkuu! Zilikuwa pick-up za ukweli sana!! Sijui ziko wapi!?
kababu said: lingine hili huku liko juu ya mawe mwezi wa sita sasa Click to expand... Hazikuwa hivi mkuu! Zilikuwa pick-up za ukweli sana!! Sijui ziko wapi!?