Gari za M4C zinaendeshwa very rough!

ujumbe umefika wahusika watafanyia kazi maana wapo humu watawarekebisha kama kuna madhaifu hayo
 

Hata TUNTEMEKE pia anadai ni mwanachama wa Chadema wa siku nyingi
 
Last edited by a moderator:
Kwani walioziwekea hiyo speed ni wajinga?
 

Hivi gari likiendeshwa kwa kasi linaharibika kumbe..!!
 
Naona Watu wengi wanatetea huu Ujinga kunasababu gani hizo gari kuendeshwa roughly? kwani kwa mwendo wa kawaida haziwezi kwenda? na vp usalama wa hizo gari na watu kwa huo mwendo kama ni kweli? Hatuwezi kutetea kila kitu kisa ni cha CDM kwenye upumbavu lazima tuseme
 
Changes always needs no hurry and at the end they bear fruits!!!!
 
Sasa MCHAKA MCHAKA, wewe unaipenda sana CHADEMA na ni chama chako, hoja ya CCM ya kwamba tumepewa magari ya wajerumani ambayo ni ya uongo mkubwa imekuwaje unaishadadia? Hiyo ni hoja ya kukidhalilisha chama. Sasa wewe hujui au unajua lakini unatekeleza mpango wa Nepi wa kukidhalilisha chama chetu. Anyway kila mmoja ana haki ya kufikiri anavyoweza na hata kusema mawazo yake bila ya yeye mwenyewe kujipima kama mawazo yake yana ukurutu kiasi gani.
 

kwani unadhani yametoka wapi?
 
Onana na RTO Arusha kwa msaada zaidi.
 
Hili nalo la msingi ni jambo jema kuangali na kutunza mali za chama. mkuu upo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…