Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #121
Jamani nimecheka kumbe saloon car Ni aina ya gari,mi nikajua Ni a.k.a labda ,nilihisi wadada wengi wanazo so Mara nyingi utazikuta saloon so ndo zikakatiwa hilo jinaMkuu BMW nilishangaa ni SUV but ina cc chache mno kama saloon cars
Eti why?















