Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Wwdau JF,
Nategemea weekend inaendelea vizuri.!
Nahitaji gari ya kokodi kwa siku tano,gari iwe SALOON, model yeyote na iwe kwenye hali nzuri.Nataka kwenda nayo Tanga mjini na Pangani nikitokea Arusha mjini na kuirudisha Arusha.
Bajeti yangu ni elfu themanini kwa siku,mafuta naweka mwenyewe.
Aliye nayo,please ani PM au anipigie 0752489529