PreGE2025 Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Fisi kala fisi
 
Attachments

  • IMG_20250212_031100.jpg
    IMG_20250212_031100.jpg
    13.6 KB · Views: 8
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.

Mng'ong'o amesema tukio hilo limetokea wiki moja baada ya wizi wa tairi jipya la gari lake, lakini amekanusha kuhusisha matukio hayo na masuala ya kisiasa, akisema hana mgogoro na mtu yeyote.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini wahusika na chanzo cha tukio.

View attachment 3312165
Chama cha Mashetani
 
Huyu ni CCM ndugu zake ni polisi ,kesho tu watuhumiwa watakuwa wameshakamatwa na kufungwa maisha.Ingekuwa na CHADEMA aaaaah !
 
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.

Mng'ong'o amesema tukio hilo limetokea wiki moja baada ya wizi wa tairi jipya la gari lake, lakini amekanusha kuhusisha matukio hayo na masuala ya kisiasa, akisema hana mgogoro na mtu yeyote.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini wahusika na chanzo cha tukio.

Chanzo: Dream FM
Picha: Highlands FM
Nilifikiri ni gari ya mwenyekiti wa CCM nchini.
 
Back
Top Bottom