Gari ya CAG imenipita hapa imetanua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ya CAG imenipita hapa imetanua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Maundumula, Apr 25, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari,

  Hivi magari ya wakubwa yanaruhusiwa kutanua? Hii kama mara ya 2 naona gari ya CAG inatanua hapa palm beach. Sasa huyu ndio controller and auditor general.kaazi kweli kweli.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  siku nyingine wekeni misumari watanuaji wakome
   
 3. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo CAG katanua au Driver?? Kazi ya CAG kuzuia magari yasitanue?? Na je ikitokea Traffic ameikamata gari hiyo, who will be responsible??
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  CAG anapokuwa ndani ya gari anamuona dereva anatanua anamuacha mimi naona CAG tu ametanua.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo ame audit hadi barabarani
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huyo kazi yake ni ku kontrol na ku audit hesabu za serikali sio hadi barabarani banaa
   
 7. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Mfuate kwa nyuma!
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama hawezi kumkemea hata dereva wake?
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  akitanua ingiza mti
   
 10. A

  Ahmada umelewa Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Mkikosa Vitu vya kusema si mtulie kuliko kuandika Madudu!


   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  nikadhani katanua miguu? Kumbe gari lake!
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,599
  Likes Received: 18,608
  Trophy Points: 280
  Tuelimishane kidogo kuhusu hizi special number plates!.

  Lengo la special number plates ni kujulisha aliyeko ni VIP. Tanzania tungekuwa na VIP road, wala hahitajiki kutanua. VIP wote wanaruhusiwa kupata "preferential treatment" mabarabarani na popote penye VIP Status!.

  Kwa watumiao barabara ya Ali Hasan Mwinyi, ndio inayoongoza kwa idadi kubwa ya VIP, Traffic akishaona ile number plate, wengine mtasimamishwa na wao waruhusiwe kupita kwanza.

  Ukiondoa wale wakubwa sita wa nchi ambao huongozwa na pikipiki ya trafick wanafuatiwa na marais wastaafu, na mawaziri wakuu wastaafu, wakifuatiwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi, ambao wao wamejiwekea escort zao, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISSZ, waliobaki wote kuanzia Spika (S), Jaji Mkuu (JM), Mawaziri na manaibu wao, Mkaguzi na Mdhibiti (CAG), Katibu Mkuu Kiongozi (CS), na mabalozi wote wanaotumia CDM1 wakiwa na bendera, hawapaswi kusimama kwenye foleni!.

  Sina uhakika na viongozi wa vyama vya siasa, ila huko mikoani Ma RC na Ma DC na Viongozi wa CCM wenye bendera, pia hupishwa njia!.

  Kwa hiyo huko kutanua ulikodhani ni kutanua, sio kutanua bali ni kutumia privilage yake ya VIP.
   
Loading...