We amini inatembeaHebu weka video ikitembea kido
GEARBOX:AUTOMATIC TRANSMISSIONGari ina injini gani mkuu?
Mbalizi feedstuff
Aisee nimehuzunika mnoUmeshindwa hata kuliosha? Gari chafu kwa hali hiyo sijui kama utaliuza
SawaChochote kitu
Tumbo livimbe
Daaaaa kumbe Diesel engine safiiiiGEARBOX:AUTOMATIC TRANSMISSION
ENGINE:2.4L 4 CYLINDER DIESEL ENGINE(2L-T)
CC:2400
4WD
Kitu cha diesel babaDaaaaa kumbe Diesel engine safiiii
PoleNatamani gari ila uwezo tu sina
Atoe na hayaa mawe huko chini. Anajiharibia biashara mwenyewe. Hapo hatugusia bei mhhh.Mkuu hebu iogeshe kidogo ili iwe na muonekano
Impression ya kwanza mtu akiiona anahukumu kivyake.
Ndio maana unaona usemi hapo juu umerudiwa na wadau wawili
Akilishusha kwenye hayo mawe, halafu likasukumwa, hakika linatembea. Nadhani hiki ndicho alicho maanisha.Hebu weka video ikitembea kidogo
laki 2 tu hapo chuma imenyooka hiyo. Ichukue tu kama vipi.Wakuu tuache utani.
Hivi kutengeneza gari kama hiyo irudi katika ubora wake bei gani?
We jamaa 😅Yaani milioni 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8!!
Halafu gari iko juu ya mawe!
Ilikuwa na mgogoro au shida gani mbona iliegesha muda mrefu sanaGari: Toyota hilux surf
Mahali: Morogoro mjini
Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8
Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
View attachment 3247778
View attachment 3247781
View attachment 3247782
View attachment 3247787
View attachment 3247791
View attachment 3247795
View attachment 3247797
Hapa napo patazamwe!namuunganisha na fundi amweleze ukweli huu