Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,298
Tate Mkuu sitanii lakini mkuulaki 2 tu hapo chuma imenyooka hiyo. Ichukue tu kama vipi.
Tate Mkuu sitanii lakini mkuulaki 2 tu hapo chuma imenyooka hiyo. Ichukue tu kama vipi.
Haina mgogoro,hamna wa kuiendesha ndio mana imetulia hapoIlikuwa na mgogoro au shida gani mbona iliegesha muda mrefu sana
Acha ujingaHiyo gari wasikufiche ikizidi sana mtu asiejua magari anaweza kukupa 2m ila ukipeleka pale mtawala watalipima kilo waweza pata laki 9 au milioni kama chuma chakavu. Hilo ni scraper sio gari tena.
Watu wa humu mnaelewekaTangazo linapaswa lisomeke, unauza lililokua gari
Yani hamna wakuiendesha ndio iwe na vumbi hivyo🤣🤣.Haina mgogoro,hamna wa kuiendesha ndio mana imetulia hapo
Ya dingiYani hamna wakuiendesha ndio iwe na vumbi hivyo🤣🤣.
Hiyo gari yako? Ya baba, mjomba au shemeji?!
Au wewe dalali?!
Hongera sana Comrade. Naamini dalali umemtoa asilimia za kutosha tu kutokana na kazi yake nzuri aliyo ifanya.Ahsanteni kwa mashirikiano hatimaye ndinga imeuzika tena kwa pesa nzuri,wakatishaji tamaa walikuwa wengi kuliko watia moyo.
Dalali Amekufa na chakeHongera sana Comrade. Naamini dalali umemtoa asilimia za kutosha tu kutokana na kazi yake nzuri aliyo ifanya.
'Mamake, kwisha habari yake....gari imeoza hivi inauzwa shillingi ngapi?Gari: Toyota hilux surf
Mahali: Morogoro mjini
Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8
Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
View attachment 3247778
View attachment 3247781
View attachment 3247782
View attachment 3247787
View attachment 3247791
View attachment 3247795
View attachment 3247797
We mchawi nini mbona umepanick kama umekunywa maji ya chooni'Mamake, kwisha habari yake....gari imeoza hivi inauzwa shillingi napi?
Hivi kushangaa kitu kilichooza ni uchawi, nilikuwa sijuwi.We mchawi nini mbona umepanick kama umekunywa maji ya chooni
SawaHiyo gari ni mbovu balaa ...