Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

Mweee!
 

Nunua vitz! a.k.a babywolk
 
Huu ndo ushauri nzuri
 
Aisee cresta gx 100 ni nzuri bana.
Mark x ni hatari i real like dat car ni nzuri sana.
Ila kwa grand mark 11 is best than verossa
 
Kiukweli gari zote hizo zinafana sana karibia kila kitu. Tofauti kubwa ni body design. Umbo la verosa ni zuri zaidi. Ukipata black metalic utaosha sana kitaa. Mi ninayo Toyota Fielder New Model tamu sana, lakini nikifikiria kubadiri garni nitanunua BREVIS. Kiukweli hii gari ni kali sana sana. Ukiicheck kwa haraka unaweza dhani ni Benz ama BMW 5 Class.
 

Naunga Mkono hoja ya kuanzishiwa forum ya magari
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

在這裡,我們討論汽車和沒有婦女和兒童的事情.
 
Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana

Mkuu ni kweli, hakuna gari brand ya Gx110. Wadau wanachanganya injini na car model.
 

sio v25 ni VR25 ya 2003 ndo INA 1jz GTE Sawa na cresta ya 1998
 

Bmw hawana CLASS ila wana SERIES kiongozi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hata bodaboda nahisi hainunui...nishaona mgongo wa chura nissan,cjui bei,hyo german car price si itakuwa ipo juu lazma

Hahah ukimaanisha nissan March au?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…