Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

Gari: Toyota GX110 Vs VEROSSA

twafa-kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
251
Reaction score
211
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani
 
verossa ndo on mpango mzima....grandee zishakuwa yeboyebo kaka..Verossa is my dream Car mwaka huu...
 
mi nadhani kwa upande wa mafuta zote ziko sawa engine ni 2000CC na ni IG-FE, tofauti kimsingi ni body, na kwa maoni yangu GX 110 ni imara zaidi/inavumilia shida tofauti na Verossa. Spea zake inategemea ni spea gani maana kama unazungumzia mambo ya Taa ni balaa ila nyingine ni bei za kawaida tu.
 
verossa ndo on mpango mzima....grandee zishakuwa yeboyebo kaka..Verossa is my dream Car mwaka huu...

Hapo Nizzo sijapaelewa unamaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana
 
Ni kweli mkuu nilimaanisha mark11 Gx110
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。
 
Unaposema gx110 na verossa unamaanisha n,ini? Hata verosa ni gx 110! Ungesema mark2 grande vs verossa... Sasa tofauti ya hizo gari ni muundo wa body tu ila engine na chasis vyote vipo sawa...kwenye Durability ndio kuna utofauti,verossa ni mayai sana

hahaha kweli kabisa mkuu technically speaking zote ni GX 110....
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

:\"Ndugu na binti suala la wanawake na watoto uso, unaweza kusema kwamba kazi nje tena na zaidi ili nyumba yako ni mawazo ya"

:A S 13::A S 13:
 
红杏出墙面的哥儿媳妇孺,你说那明能再多就这么办事给你家就没想。

的哥儿媳妇孺,你说
 
  • Thanks
Reactions: y-n
JFAdminstrator weken na forums ya magari/locomotive na vyenginevyo tupambuke kimawazo,
Kuna hoja ile ya nataka gari ya alteza. Au ile ya subari inanifirisi ni theard ambazo zimetupambua sana kuhusu magari maana wengine tuki goolge kizungu kina tupa kizungu zungu.
Pili mbongo anavyoelezea ni real life na maisha yetu sio mifano ya waarabu au waulaya wenyewe wanavyoeleza.

Tuanzishiwe forums ya MAGARI na vyombo vya usafiri
 
kachukue Brevis au progress...zote km Qatar airways ndani, zinakimbia sana na ulaji mafuta ni 9km kwa litre na 11.6 kama utaenda long route
 
Wadau naomba ushauri..,ni gari lipi kati ya hayo ambalo ni bora kwa comfortability.,durability..,availabilty of spares with affordable costs..,fuel consumptions and total costs kwa kuagiza kutoka nje mpaka kuclear kodi zote..,kimsingi nimetokea kuya admire sana but i cant take both..,i need one btn those..,Natanguliza shukrani

vista ndo bakora mkuu
 
Back
Top Bottom