Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Na uzuri wa nyumba ni pale kunapokua na kipindi cha masika itabidi uwe unaibeba nyumba yako ikupeleke kazini.Unajua uzuri wa gari itakapokuwa depreciated na ingine haiwaki wakati nyumba imesimama
kama hutaki ku-wast time kuna nyumba za kununua.Bora gari kuliko nyumba. Gari ni nyumba tosha kabisa.Unaweka vitu vyako vyote na unaenda mahali popote pale na unaweza kulala popote pale.
Ukichoka mpe mlinzi tu buku akulindie gari yako nje ukiwa umelala mpaka asubuhi.Unabetua tu kiti unalala safi kabisa.
Wanangu na mke wangu hawalali nje kabisa.Nalipa kodi.Hawalali nje kamwe.
Mpka nyumba iishe ni stages nyingi sana na ni time wasting.
Hahahahaha jf raha kweri kwerikama hutaki ku-wast time kuna nyumba za kununua.
kuoga vipi? utaoga kwenye gari? kufua nguo au utafulia kwenye gari? kujisaidia haja ndogo na kubwa? umewaza hilo, Vipi ukiugua? ndugu wakija kukutembelea? siku una shughuli ndogondogo kama ubatizo, siku ya kudhaliwa n.k utafanyia kwenye gari? Faragha na mkeo itafanyika kwenye gari?
Gari itakuwa nyumba kwa kibaka mhunimhuni.
Hivi mtu na heshima zako uulizwe unaishi wapi useme kwenye packing za gari pale ccm?