wana JF,mimi ni dereva wa lori lifanyalo safari za nje,siku ya jana nilikuwa ktk kazi zangu nikiwa eneo ya Kimara nyuma yangu kulikuwa na gari lenye maandishi NW MUV,mbele yangu kukawa na gari la abiria ikabidi nimzuie,baadaye alipita akanionyeshe kidole.
not may be he is the one.May Be:
Naibu Waziri; Mifugo na Uvuvi.
Naibu Waziri,, Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,,,,Ndg. Benedicto Olle Nangoro,,,,jamaa ni mpole hadi basi