Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Serikali boresheni hii huduma inalipa sana.
Nalog off
Nalog off
ya kuelekea Kigoma.Ya kuendea wapi hiyo Washawasha..
Huu usafiri ni mzuri kweli kwetu sisi maskini ila ndio hivyo tena mpini wameushika wao.hawatakusikia kwwani itaharibu deal za watu kibao wenye mabasi na malori ya mizigo kwa kushusha nauli kwa abiria na gharama za uchukuzi mizigo. wanaonufaika na na treni ni maskini sisi, ila mfumo uliopo wanaifaidi kisawasawa wenye meno kwa maana ya mabasi na mallori ya mizigo
Huyu jamaa anatakiwa ayauze hayo malori yake na kuamua kuwekeza kwenye usafiri huu bado atapiga hela tu.Aaaah!!! wapi... malori ya rizmoko yakose dili!??