Gari mbili ziko sokoni

Gari mbili ziko sokoni

Kaka kwa hizo bei ni ngum kuganya biashara hasa no za gari
Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu
 
Mimi niliuziwa gari namba B na mtu fulani,yeye akanunua gari nyingine namba D,sasa hivi gari yangu namba B ina hali nzuri kuliko yake namba D
 
Yan huyo ni dalali hata yy hizo gari hazijui ndo maana anakuja bila detail, kaambiwa zilivyo ndo akaja mbio kunadi, haaaaa
 
Huu utaratibu wa kununua Gari kwa kufuata namba utakuja kuuziwa gari namba D alafu imechoka balaa kuliko namba A au B....mifano tunayo mkuu
Ni sawa kaka unayo sema lakin wengi huangalia yy akitaka kuuza wengi hununua nomber
 
Back
Top Bottom