Kweli KABISA .Mfano Mimi nilipokuwa na ist nilikuwa nasumbuliwa sana barabarani na hawa askari barabarani lakini baada ya kununua V8 hawanisimamishi kabisa.V8 NI KIBOKO YA ASKARI BARABARANIMagari ya Polis pale Kisutu Jana asilimia kubwa haya kuwa na namba kabisa.
Kwasasa ukitaka usisumbuliwe na mapolisi hasa barabarani, we toa namba kabisa (ila uwe na gari lenye hadhi kdg na jipya) tutaenda kwa spidi utakayo na utosumbuliwa point yoyote. We angalia kwa sasa Kuna utitili wa magari yasiyokuwa na nambari mabarabarani