mgodi JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,780 1,846 Jan 19, 2017 #2 Mm siyo fundi magari, labda anipe vitu vingine nitengeneze.
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Oct 7, 2014 2,118 2,194 Jan 19, 2017 #6 Injini imechoka hiyo imetumika mno, kaamua kuifungua aiweke sokoni.
Ndera JF-Expert Member Sep 11, 2013 653 548 Jan 19, 2017 #7 huyo fundi unadhani atalipwa pesa kweli hapo?
Ndera JF-Expert Member Sep 11, 2013 653 548 Jan 19, 2017 #8 Wonderful said: View attachment 461611 Click to expand... hili nalo ni jaribu!
The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,068 13,485 Jan 19, 2017 #10 Sio kwamba hajavaa chupi ni kwamba imepita katikati.
robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Jan 19, 2017 #11 angekuwa mwanaume angeshasemwa ni wa huku kwetu mikoani. sasa huyu tumweke kundi gani! watani zetu karibuni
angekuwa mwanaume angeshasemwa ni wa huku kwetu mikoani. sasa huyu tumweke kundi gani! watani zetu karibuni
Punnisher JF-Expert Member Jul 28, 2014 1,161 1,359 Jan 19, 2017 #12 wako wap wale wanaosema watu walikuwa wanatembea kwa miguu minne?kuna kitu wanataka kutuaminisha....
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 Jan 19, 2017 #14 Wonderful said: View attachment 461611 Click to expand... thread nyingine zinaishusha hadhi jamiiforum
Wonderful said: View attachment 461611 Click to expand... thread nyingine zinaishusha hadhi jamiiforum
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Jan 19, 2017 #15 Engine imechemushaa!... imebidi afungue bonet ipate hewaa!... Ipoe... Hii mitego ya hivi hamtushiki!...
Engine imechemushaa!... imebidi afungue bonet ipate hewaa!... Ipoe... Hii mitego ya hivi hamtushiki!...
bushland JF-Expert Member Mar 6, 2015 7,015 4,982 Jan 20, 2017 #17 Mbwahaaaaa haaaa jaman nimecheka sana
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,198 66,204 Jan 20, 2017 #18 Mudhyd said: Gari zuri, alafu kama jipya vile!!!!! Click to expand... Used kichizi
Yamakagashi JF-Expert Member Sep 19, 2016 8,614 17,620 Jan 20, 2017 #20 Acheni kuweka uchafu humu ,wengine tupo na watoto tuna peruzi Jf ,pelekeni jukwaa la wakubwa JamiiForums
Acheni kuweka uchafu humu ,wengine tupo na watoto tuna peruzi Jf ,pelekeni jukwaa la wakubwa JamiiForums