Gari letu TZ MMXV.

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,640
13,884
Gari letu,

Dereva haaminiki! (Maajabu)
Abiria wanajua kuliongoza kuliko dereva (hawaruhusiwi)
Kupanda abiria kachagua mwenyewe! Safari imekua ya karaha! kushuka hakuna ashukae kwakweli abiria wavumilivu!
kwasasa acha nisinzie! maana kelele sizipendi, jamani tukifika stand mniashe kulihama gari hili haiepukiki, nampenda yule dereva mpole na anaewajali abiria wake, huyu kwa sasa basi, mwendo wake unatisha, kauli zake zaogoposha, njia tupitayo ya mabonde mengi, tafadhali tukifika stand ya kati na mnishushe nitapanda lile lingine, haraka ya nini wakati hatujui tuendako? Mbaya Zaidi safari hii haikupangwa!!

[HASHTAG]#vvm[/HASHTAG].
 
Huyu suka atatufikisha haraka ingawa wenye mishono na wagonjwa inatakiwa wafikiriwe kwenye matuta.

God will never give you more than you can handle!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom