Gari latumbukia Ferry Dar asubuhi hii...

Ni kweli Uko sawa,ndio maana mara zote tunashauliwa kutumia busara zaidi ya akili tunapofanya maamuzi yetu,inasikitisha!
lakini driver wa panton na walinzi wake wanatakiwa kufahamu ufahamu wa abiria wao na kuchukua tahadhari zaidi!
 
Ni kweli imetokea jana asubuhi...by the time ninavuka...gari ya polisi ilikuwa inajaribu kulivuta (baloon - cream) kutoka kwenye ukingo (I think it was after limetolewa kwenye maji)..lakini likishindwa tena likakwama....vijana wa ferry wakalisukuma mpaka juu...ilikuwaje mpaka likatumbukia...sijui..ila nasikia it took sometime for the rescue team to do something!
 
the last incidence ya gari kuzama pale ilikua ya gari la nyama na aliyekufa alikua ni Devera. Ilikua ni mwaka jana.

Could this be meaning something?

Please Understand the signs and codes
 
kiukweli kama wewe umeshawahi kwenda Kigamboni kwa gari binafsi utaelewa jinsi ambavyo baadhi ya madereva wanawatesa wale walinzi kwa kulazimisha kuwahi hata kama ferry imejaa. Watz tuna tatizo moja, hatupendi kufuata sheria na taratibu. Sina shaka huyu dereva wa gari la nyama alichomeka tu pale hata baada ya kusimamishwa!! Huwa navuka pale na ninawashangaa sana madereva wanavyorisk maisha pale!! hili liwe fundisho kwetu sie tuliobaki!!
 
sorry wanajamvi, ulanzi ulinizidi hapa gangilonga, macho yakawa bize kwa sekalinga pembeni, nikakumbuka tukio nililoliona wakati ule aliyekufa amefahamika???
 
Jamani.. Kwani geti alifungwi wakati pantoni ikishajaa na kuanza kuondoka??!! Au ni pombe za asubuhi hizo
 
Back
Top Bottom