Off topic, naomba kwa anayeelewa anisaidie. Nifanyeje ili niweze kufungua attachment zilizopo kwenye thread nikiwa natumia JF app
Maana kila nikibonyeza view attachment inanirudisha kwenye dashboard ya menu kuu.
Ila nikienda web view naweza kufungu attachment.
Natanguliza shukrani.
Polisi wa Tanzania ni wainga kabisa. Kuna sheria inayokataza? Hata kama ipo, adhabu yake ni viboko? Kweli nchi zetu ndiyo maana zinaitwa ziko dunia ya tatu.