Gari la serikali lashikiliwa hotelini

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Kwenye gazeti la Mtanzania la leo kuna habari kuwa gari la wizara ya maji linashikiliwa katika hoteli ya Land Mark kutokana na deni la Sh58 million.

Inaelezwa kwenye habari hiyo kuwa wafanyakazi wa wizara hiyo walikuwa bna mtindo wa kwenda hoteklini hapo kufanya vikao (haikuelezwa vuilihusu nini) bila kulipia gharama mpaka deni hilo likafika kiasi hicho. Juzi walifanya kikao kingine na gharama zake zikiwa Sh6 million (kwa siku hiyo tu) na walipotoka wakajaribu kusomesha kuwa hawana fedha na watakuja kulipa lakini wafanyakazi wa hoteli wakaja juu, wakalazimika kuacha gari hilo kama dhamana!
 
Kwenye gazeti la Mtanzania la leo kuna habari kuwa gari la wizara ya maji linashikiliwa katika hoteli ya Land Mark kutokana na deni la Sh58 million. Inaelezwa kwenye habari hiyo kuwa wafanyakazi wa wizara hiyo walikuwa bna mtindo wa kwenda hoteklini hapo kufanya vikao (haikuelezwa vuilihusu nini) bila kulipia gharama mpaka deni hilo likafika kiasi hicho. Juzi walifanya kikao kingine na gharama zake zikwa Sh6 million (kwa siku hiyo tu) na walipotoka wakajaribu kusomesha kuwa hawana fedha na watakuja kulipa lakini wafanyakazi wa hoteli wakaja juu, wakalazimika kuacha gari hilo kama dhamana!

yani hii nji ina matata sijapata kuona haaaaa kila kitu kinachakachuliwa heheheeee
 
Utawala wa hoteli hauna haki ya kushika mali ya mdaiwa bila amri ya mahakama kuruhusu kushika mali.

Hatakama alipeleka suala mahakamani na hoteli ikapata hukumu lakini bado mahakama isingeweza kutoa amri ya kukamata mali ya serikali kwani sheria ya utaratibu wa kushitaki serikali unakataza asililani kushika mali ya serikali hata kama kuna hukumu:

Kifungu 16 (3) kinasema:

Save as is provided in this section, no execution, attachment or similar process shall be issued out of any court for enforcing payment by the Government of any money or costs referred to in this section; and no person shall be individually liable under any order for payment by the Government or any Government department or any officer of the Government as such of the money or costs.

Kama wanasoma humu walirudishe hilo gari kabla serikali haijafungua madai ya mamilioni dhidi ya hoteli.
 
yaani mpigilie mabaga na misoseji na misambusa halafu mjidai sina haki ya kukamata gari....aiseee mtalipa hayo masambusa ndo mchukue gari...
 
Hii kali watu awajui maana ya serikali,mimi kwa uelewa wangu ni nguvu ya umma.(kukamata gari ni kukwamisha utekelezaji wa majukumu yake),kutolipa deni la vikao ni uzaifu wa watekelezaji wake,(vikao ufanywa kama pesa hipo kwa miongozo ya bajeti)
 
Kwenye gazeti la Mtanzania la leo kuna habari kuwa gari la wizara ya maji linashikiliwa katika hoteli ya Land Mark kutokana na deni la Sh58 million. Inaelezwa kwenye habari hiyo kuwa wafanyakazi wa wizara hiyo walikuwa bna mtindo wa kwenda hoteklini hapo kufanya vikao (haikuelezwa vuilihusu nini) bila kulipia gharama mpaka deni hilo likafika kiasi hicho. Juzi walifanya kikao kingine na gharama zake zikwa Sh6 million (kwa siku hiyo tu) na walipotoka wakajaribu kusomesha kuwa hawana fedha na watakuja kulipa lakini wafanyakazi wa hoteli wakaja juu, wakalazimika kuacha gari hilo kama dhamana!

Kikao cha siku moja gharama ya hotel peke yake 6m, hata kama hii inainclude accommodation bado huu ni uwendawazimu hasa tukikumbuka kuwa serikali inaendeshwa kwa mikopo ya NMB na Exim Bank.Hapo hatujaongelea allowances. Mzee Mkulo so mnakopa ili mfanye upuuzi kama huu? Kwanini masijiuzuru kuliko kutudhalilisha kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom