Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Safari_ni_Safarinilikuja kwa kasi kuangalia hilo gari nilifikiri nila kwangu mie Obamawabongo kumbe nila yule wa marekani
The downed 'Beast': President Obama's armored limo broke down in Tel Aviv this morning as it was headed to the airport after the driver mistakenly put gas in the engine instead of diesel
Naomba kujua uzito wa hilo gari ni tani ngapi.Hapa ninavyoangalia hii picha ni kama hilo Mbaula lililoibeba limeelemewa na uzito...
Yeye mwenyewe ametangaza Jana nia yake ya kuanza kutumia Gas kwenye magari badala ya Diesel & Petrol kwa magari yote USA. Mimi nilifikiri limekongoroka vyuma na mabati kumbe ni Matumizi yasiyo sahihi ya fuel kwenye jiko.Dereva wake hana makosa alitimiza wajibu wake kama mtumishi mwaminifu.
Tani 3.5 (bila mzigo/abiria)
Naomba kujua uzito wa hilo gari ni tani ngapi.Hapa ninavyoangalia hii picha ni kama hilo Mbaula lililoibeba limeelemewa na uzito...
Lol...hii kali. Kumbe ata yeye inatokea? Sioni aibu tena kushuka na Kigeleni kwenya foleni!
Ina 12 tonnes.....
The car, worth over $1million, is 18ft in length, weighs 8 tons and has 8in thick armour plating on its doors.
Mkuu nimependa signature.Mkuu GAS (Gasoline) ni Petrol kule kwa mjomba
si kwamba ni liguidgas kama tunayotaka kuchimba kule kusini?Mkuu GAS (Gasoline) ni Petrol kule kwa mjomba