Gari la mkopo laibiwa

Hivi inakuaje mtu mpk anaiba gari? Haina immobiliser built in? Tena Noah mtu aibe atauza kwa bei gani
 
tatizo was Tanzania tunaona Kumiliki gari is a big deal! gari sio ishu ndo maana huko befoward kina gari had I za dollar 200. ona huyu kaweka dhamNa Nyumba ili anunue gari sasa presha lazma imuue Kama komba

Mkuu ebu nipe link ya gari ya $200 maana nina maiaka 30toka nijue kutembea natembea kwa mguu
 

Limeibiwa au limeibwa? Hivi ni vitu viwili tofauti. Linaweza kuibiwa sight mirror au spare tyre. Lakini kuibwa ni kuondoka zimazima.
 
Gari ya rais wa kenya iliibiwa sembuse hlo lenye car tracking kuna kifaa unaingia nacho ndani ya gari lenye hyo car tracking system na kuuwa mawasiliano yote na gari inatembea bila tatizo!

Is it worth for noah aka pig aka mobile guest house?
 
Kama hiyo Noah alikuwa hasogezi viti ili kupiga mijeredi ,basi nampa pole.
 
Na wewe hii iwe fundisho kwako,hela ya mkopo hainunulii gari,gari unanunua kwa hela yako.Sasa kuna ushauri gani hapo,arudishe hela ya watu kufuatana na mkataba.
 
hao u trackk wanapatikana wapi asee?
ndugu ni pm nikuunganishe na mtu akuwekee tracking system ya maana , hakuna malipo ya mwezi na inauwezo wa kufanya mambo mengi ,ikiwa ni pamoja na kuzima gari kwa njia ya simu
 
Watu tunakopa ili kupata mitaji ya kuendeshea biashara zetu,wajinga wengine wanakopa ili wanunue Noah za kuringishiana hapa town?
 
Kwani alivyoamua kukopa chanzo cha mapato kilikuwa kiwe nini kurejesha mkopo?

Kama Noah ndio chanzo hapo kuna shida...
 
Watu tunakopa ili kupata mitaji ya kuendeshea biashara zetu,wajinga wengine wanakopa ili wanunue Noah za kuringishiana hapa town?

...inawezekana Noah ya biashara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…