Gari la mkopo laibiwa

Hivi inakuwaje ukinunu nyumba ambayo imewekwa zamana benk. Nani atakamatwa kati yangu niliyeuziwa na aliyeuza

Sasa hati si iko bank ww utanunuaje sasa....utakuwa umeliwa mkuu...
 
Kama na wewe una Rav4 siku ukienda kununua spares ambazo ni used, utanunua vifaa vya gari yake. Hiyo gari ilichinjwa na parts zake zinauzwa kama used parts.

Mwambie aende ilala mtaa wa shauri moyo/lindi atapata atapata baadhi ya vifa vya Rav 4 yake
 
Hii ngoma bado mbichi ngoja waje wajuvi wa haya mambo! kuna mshkaji aliuza nyumba Mill 60 kaenda kununua Rav 4 number A ambayo ilishatumika iliyobaki kaenda kapanga nyumba kawatupa huko familia yake nyingne anatengenezea heshima bar!

Safiiii huyo bila shaka atakuwa ni uvccm
 

Duuuh hii mpya mtu anaweka rehani nyumba kwa ajili ya NOAH a.k.a kitimoto a.k.a mdudu a.k.a mbuzi katoliki hahaha mimi navyojua watu wanaweka rehani nyumba kwa ajili ya kununua scania au youtong , alafu mtu unaiba Noah unapeleka wapi? mi nahisi wamemkomoa tu
 
kama hajakatia bima ni tatizo
 
Aendelee kulipia mkopo kutokana na vyanzo vyake vya mapato asipolipa nyumba itanadiwa ila inauma kulipia gari ambalo huna it pains
 

Aendelee kulipa wakati polisi na insurance company wanaendelea na taratibu zao!
 
Lakini ni akili gani hio kukopa Noah na kuweka nyumba dhamana?!
 

Duh, huyo jamaa yako ametoka mpitimbi jana nini?! Unakopa GARI unaweka DHAMANA NYUMBA?!! Gari yenyewe ya kutembelea!...pamadaku! Magari kibao tu mitaani kama shida ni usafiri hata 4M unapata gari nzuri tu mpaka akakope kisa nini, ushamba tu. Baada ya maneno hayo naomba uniwie radhi mkuu. Turudi kwenye mada, hiyo gari haikuwa na comprehensive insurance (kama hakukata bima gari ya mkopo basi si mjinga bali ni mpumbav kabisa). Anachanganyikiwa nini sasa, kwani hiyo noah ndiyo ilikuwa inarejesha mkopo benki?
 

Watalitelekeza sehem tu wakishamaliza shughuli yao, noah!!
 
tatizo was Tanzania tunaona Kumiliki gari is a big deal! gari sio ishu ndo maana huko befoward kina gari had I za dollar 200. ona huyu kaweka dhamNa Nyumba ili anunue gari sasa presha lazma imuue Kama komba
 

Gari ilikatiwa bums gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…