lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Sasa kama rafiki zake ndio wewe, hata simlaumu kwa kuweka rehani nyumba kwa ajili ya gari..
Hii ngoma bado mbichi ngoja waje wajuvi wa haya mambo! kuna mshkaji aliuza nyumba Mill 60 kaenda kununua Rav 4 number A ambayo ilishatumika iliyobaki kaenda kapanga nyumba kawatupa huko familia yake nyingne anatengenezea heshima bar!

mkuu kwa hiyo mimi nimemshauri aweke rehani nyumba? aaah acha utani bwana
Kama alikatia comprehensive ana wasiwasi gani,maana bima ina mcover kwa hilo.janga.anachotakiwa ni kutahalifu.wakala.au kampuni aliyokatia bima
Sasa kama rafiki zake ndio wewe, hata simlaumu kwa kuweka rehani nyumba kwa ajili ya gari..
Mh! hapo pagum ndugu, labda ajaribu maoni ya huyo wakwanza hapo japo niulize kwani marejesho benk ni kwa pamoja au kidogokidogo
ushauri mbaya huo.....kama ana kazi awe anawapa hela yao kila mwisho wa mwezi anapopewa mshahara...,.
Gari si inabima? Even mkopo nao si unabima?seiwe na wasiwas..kama flow ya pesa kwa ajil ya kulipa mkopo ipo why achanganyikiwe...na huyo mjinga kwel atakopaje gar aweke dhamana nyumba?siku hiz magar kibao hiv..bado mtu unachukua mkopo kwa ajil ya gar kwel?magar siku hiv watu wanauziana baa 2mil nyingine ukipata unammalizia....🙂🙂
Auze nyumba ili arudishe mkopo na kiac kitakachobaki akapange nyumba maisha yaendelee.
Huyu sasa ndiyo mjanjaHii ngoma bado mbichi ngoja waje wajuvi wa haya mambo! kuna mshkaji aliuza nyumba Mill 60 kaenda kununua Rav 4 number A ambayo ilishatumika iliyobaki kaenda kapanga nyumba kawatupa huko familia yake nyingne anatengenezea heshima bar!
Can't be true!
hao u trackk wanapatikana wapi asee?Ushauri wangu kwa wenye magari...ukinunua gari ni vema ukawatembelea hawa U TRACK au CAR TRACK wakakufungia GPS katika gari yako ambayo itasaidia ku monitor gari lako hata kwa kutumia simu yenye os ya ANDROID....!
Tracking system ndo kiboko ya wezi wa magari