Gari la mch. Msigwa (CHADEMA), ni balaa!

Kwani hiyo sio Toyota Vx? Bei yake ni ya kutisha sana? Mbona sijaona cha kushtua hapo? Mwacheni bhana maisha yenyewe we live just once
 
mwacheni ale Raha angenunua vitz mngesema kanunua gar ya wanawake

ulimpa kura subir maendeleo sio kufuatilia mambo yake binafsi
 
Hiki kiburi amekitoa wapi huyu mtu? Amakweli maskini akipata matako hulia mbwata
 
MAGAZETI. NI BIASHARA YA HABARI ! ZITOKE WAPI NA VIPI NI WAO.SISI TUNACHUKUA KILICHO NA MAANA NDIYO MAANA TUNACHAGUA 'Ninunue lipi hapo ?'
 
mbona gari ya kawaida sana?

Inamaana wabongo tumekuwa masikini sana hata hiyo gari tunaishangaa mtu kuimiliki?
 
mbona gari ya kawaida sana?

Inamaana wabongo tumekuwa masikini sana hata hiyo gari tunaishangaa mtu kuimiliki?
Sio ajabu mtz kumiliki hii gari, kama unazo haina utata!
Ila naomba unijuze Inauzwa kiasi gani ili tujue ni ya kawaida kwa mtz wa kawaida au ni ya matawi ya juu!
 
Basi kwenye jamii yetu kuna daraja la watu hicho ndio chanzo chao cha habari cha kuaminika! so sad...!!!
Inakuaje mwanahalisi na mawio mnalikubali kama vyanzo stahiki vya habari ila hili gazeti hamlikubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…