Gari la mch. Msigwa (CHADEMA), ni balaa!

Gari la mch. Msigwa (CHADEMA), ni balaa!

hivi huyu shigongo na magazeti yake ya udaku sheria za mtandao hazimgusi huyu..maana magazeti yake yanaongoza kwa kupika uongo..
 
Next election hatumrejeshi...hiyo hela ingesaidia vitanda pale hospitali ya mkoa, yeye hata Vitz inamfahaa...kwani Iringa hadi Dodoma ni 220 Km ukipitia Mtera
 
Kama walioambiwa hivyo ni hawa waandishi wa magazeti ya shigongo basi Msigwa alikuwa sahihi kabisa
 
Sasa wewe mleta mada Inaonekana hujui kitu kabisa!,Mimi nilifikiri amenunua Cadillac one kumbe ni vx!,vijana kibao wanatembelea mtaani.
 
DSC00887.jpg
Mkuu mimi nilikuwa nakuona mtu makini, kumbe unasoma Magazeti ya udaku!!!!!!
 
Siku hizi simuoni humu labda katangulia mbele ya haki! Unajua watu wa aina ile hata akitembelea porini lazima aliwe na simba
Wewe ukitangulia kunaubaya gani?
Unaudugu na simba kiasi kwamba hawezi kukutafuna uwapi polini!?
 
Sio ajabu mtz kumiliki hii gari, kama unazo haina utata!
Ila naomba unijuze Inauzwa kiasi gani ili tujue ni ya kawaida kwa mtz wa kawaida au ni ya matawi ya juu!
Hiyo gari kuinunua hadi juipitisha bandarini ni almost 300mil. hivi baada ya makato yote. Sasa kwa wabunge kwa kuwa hawalipi kodi ya ushuru bandalini gari hiyo wanainunua kwa mil. 110 au hata ishirini hadi kufika bongo, wabunge wanajaziwa mafuta, gharama za matengenezo ya gari pamoja na mshahara wa dereva, kwanini washindwe kumiliki magari hayo?
 
Wewe ukitangulia kunaubaya gani?
Unaudugu na simba kiasi kwamba hawezi kukutafuna uwapi polini!?
Hivi hujui kuwa kuna watu tabia zao hawana tofauti na wanyama wa porini? Hivyo huyo kuwa na harufu ya punda au nyumbu sio ajabu hivyo kuwa kivutio cha simba kumla
 
shida iko wapi hapo kipato chake hakimwezeshi kununua gari kama hill au?.mimi naamini mbunge yeyote ana uwezo wa Kununua gari lenye thamani hiyo
 
Hii ni gari ya kusema ni balaa kwa mbunge mwenye kipatao cha uhakika kwa mwezi? gari ya kawaida sana huku kwetu machinga wengi wanazo, Kirsmas na Mwaka mpya zilikua zimejaa, masikini tu na wenye akili ndogo ndio wanaoweza kuona ni gari yagharama. fanya kazi kwa umahiri pesa halali ipo nyingi na utanunua gari kali sio hio ya machinga
 
Hivi hujui kuwa kuna watu tabia zao hawana tofauti na wanyama wa porini? Hivyo huyo kuwa na harufu ya punda au nyumbu sio ajabu hivyo kuwa kivutio cha simba kumla
Hufai kuwa kiongozi
Uta kosa busara
 
Hiyo gari kuinunua hadi juipitisha bandarini ni almost 300mil. hivi baada ya makato yote. Sasa kwa wabunge kwa kuwa hawalipi kodi ya ushuru bandalini gari hiyo wanainunua kwa mil. 110 au hata ishirini hadi kufika bongo, wabunge wanajaziwa mafuta, gharama za matengenezo ya gari pamoja na mshahara wa dereva, kwanini washindwe kumiliki magari hayo?
Nashukuru kwa maelezo! Ni kweli anaweza kuimiliki kwa maelezo yako, ila si gari ya kawaida kwa hiyo original bei!
 
Nashukuru kwa maelezo! Ni kweli anaweza kuimiliki kwa maelezo yako, ila si gari ya kawaida kwa hiyo original bei!
Kinachokwamisha watu wasinunue hizo gari ni ushuru wa TRA bandarini, sasa wabunge wanapitisha magari bila kodi, kwanini asiweze kununua gari kama hiyo? Mil 90 wanazopewa kama mkopo wa gari wakiongezea kidogo tu wanapata vx/gx mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom