Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

mandago shululu

Senior Member
Joined
Mar 24, 2013
Posts
125
Reaction score
37
Gari La Mbunge wa Kwimba kupitia chama cha mapinduzi mh. Mansour limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la Kwimba.

Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa.

[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG].
 
Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
Nini takukuru, natamani wangemfutilia mbali kwenye uso wa dunia.
 
Kuna haja ya Serikali kuanzisha kampeni za makusudi juu ya kuwaeleza wananchi kufuata sheria za nchi, make siku kadri siku zinavyosonga na ndo wananchi wanazidi kuwa vinara wa kujichukulia sheria mkononi pasi kumsikiliza mtuhumiwa, nk.
 
Nadhani tuanze na vyombo vya dola
kufuata sheria bila shurti,tukimaliza
tuwaendee wananchi,hapo somo litaeleweka kirahisi.

Ni kosa polisi kumpiga raia ambaye hafanyi vurugu
lakini tunaona kila kukicha,mitandaoni
na kwenye vyombo vya habari mambo haya yakifanyika
ushahidi ni kule mwanza kwenye kuhamisha machinga.

Natamani watekelezaji wa kwanza wa sheria
wawe wasimamizi wa sheria wananchi watafuata nyayo.
Ni sawa na viongozi wa dini,wakiwa na maadili mema
hayo ni mahubiri tosha.Wakihubiri ni kuhitimisha.
 
Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
Ni vipi angekuwa wa upinzani mf,msingwa,mbatia,zitto,mnyika, nadhani ungetoa ushauri huuhuu bila upendeleo mkuu si ndio!?
 
Gari La Mbunge wa kwimba Mansour kupitia chama cha mapinduzi limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la kwimba.

Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa.

[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG].
Radio Uzushi FM
 
Majembe mvua hakuna maana kilimo cha umwagiriaji ni zero tz hii. Piga mawe huyo.
 
Back
Top Bottom