Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

Wakuu macho kidogo hayaoni vzuri!
Hilo Gari ni la mbunge wa Chama gani ??????
...
Umeshaambiwa limekamatwa likisafirisha magemdo halafu unauliza la mbunge wa chama gani; mzima kweli wewe?
 
Nilidhani ni gari lake la kutembelea, kumbe gari la Mbao? Sasa mnataka kutuambia Mbunge anaweza kufuatilia magari yake yamepakia nini mda wote? Je, na hizo mbao ni za kwake? Makosa hayo hayawezi kuwa ni ya kwake moja kwa moja kwa sababu tu eti gari ni Lake.
 
Nilidhani ni gari lake la kutembelea, kumbe gari la Mbao? Sasa mnataka kutuambia Mbunge anaweza kufuatilia magari yake yamepakia nini mda wote? Je, na hizo mbao ni za kwake? Makosa hayo hayawezi kuwa ni ya kwake moja kwa moja kwa sababu tu eti gari ni Lake.
... lingekuwa la Freeman Mbowe, pamoja na kwamba yuko mahabusu zaidi ya mwezi sasa, live press ingeitishwa kueleza jinsi anavyotoa oda akiwa mahabusu magari yake kufanya uhujumu uchumi na wangekwambia wanao ushahidi wote jinsi mtu huyo hatari kwa taifa anavyotoa maelekezo yake.
 
Ingekuwa cdm hapo au cuf sjui ingekuwaje

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi tungewasikia IGP Siro na Kijana wake Mambosasa wametoka ofisini wanapiga zile amshaamsha za kurusha miguu ili kuitafutia gia hiyo issue, lakini kwa kuwa ni mbunge wa maccm utasikia viongozi wa polisi analitolea ufafanuzi na kusema kwamba hizo tuhuma si za kweli na kesi ndio itakuwa imeishia hapo
 
Ni gari la Mbunge Ally Ungando ambaye ni Mbunge wa Kibiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
......Yeye asema dereva wake ndiye mhusika kwano yeye hakuwa na taarifa za mpango huo na asingeukubali

Amini nakueleza hata angekutwa yeye ndiye anaendesha hilo gari bado angesema yeye siye muhusika, anatekekeza maagizo kutoka juu!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom