Gari la matangazo la CHADEMA lakamatwa Morogoro

Kweli bro, na mimi nimeshuhudia jioni hii wafuasi wengi wa chadema w.akiwa pale nje ya kituo cha polisi. FFU nao walikuwa wengi kwenye magari yao. sina hakika kama mbowe atahutubia kesho, maana hali si shwari tena
Hata kesho FFU watakuwa wengi na magari yao kuzuia mkutano lakini utasikia hakuna polisi wa kutoa ulinzi...tutafika tuu...
 
Watabana mwisho wataachia...! kuzuia kwao ndiyo kuna waamsha hata walio kuwa hawajui kwamba M4C iko mkoani kwao
 
Hoja za ulaghai na mbio za Nape zimeonyesha negative result huku CHADEMA ikizidi kushika kasi na kukubalika. Mbinu pekee mpya ya kupunguza mbio za CHADEMA ambazo CCM wamebuni ni kuwahujumu na kuwazuia kuongea na waTZ. Hizi ni mbinu dhaifu na za muda mfupi kwani wananchi hawahitaji mkutano wa CDM ili waikubali ila CDM imeshakubalika na haizuiliki na kama CCM inataka kujua hilo wasubiri 2015. Mbinu wanazotumia zinawaongezea wananchi hasira na chuki dhidi ya CCM na hii ni mmojawapo ya njia ya kujizika.
 
Walikamate tu halina tija kwa taifa

Upo sahihi tija kwa taifa ni kuzuia haki ya wananchi kusikia maoni tofauti na ya watawala , kutorosha mabilioni ya fedha za tanzania kwenda Uswis,kuwanyima haki wafanyakazi wanaositisha mikataba wasipate mafao,kuwa na mgao wa maji pamoja na vyanzo vyote vya maji hapo morogoro,kweli safari bado ndefu
 
Hata kama lina Tija halitusaidii chochote sisi maskini. Tija iko kwa mafisadi wanaojua wanachopata huko. Wamalawi walichukue ila wasitoe uhai wa watu wetu.

Na tutaendelea kuwa maskini kwa kufanywa wajinga mpaka basi,lkn tayari kuna uelewa mkubwa juu ya nini kinafanywa na watawala,hata hivyo muda utafika nawewe utaelewa nini maana ya vyama vingi na mabadiliko
 
i am sure CDM ndio waliotangulia. aanze kufanya aliyeanza kutoa taarifa. taarifa za mikutano si zinafikia meza moja (kwa afisa mmoja wa Polisi), ilipokuja barua ya pili hakukumbuka kwamba kuna barua iliyotangulia ili a-scrutinize ratiba? Ishu zingine zinatia aibu kwa CCm na Polisi. awali CCm walikuwa wakipita long time after pale CDM walipopita lakini wamegundua damage ni kubwa, sasa wanaenda na CDM simultaneously ambao ni purely ni kuharibu amani.
 
Nasema hivi, kiama cha ccm kimefika sasa kila hila watakayoitumia itashindikana, hao ccm ni wafa maji ndo maana wanajitahidi kukumbatia mpaka unyasi ili kujiokoa kwa kuwatumia polisi kuua nguvu ya CHADEMA. Tusife moyo Makamanda 2015 nchi ya kwetu.

mtu yeyote anayekatibia kufa huangaika sana...ni mpito tu mkuu nyakati zinakaribia sana
 
Naombeni mwongozo! Jamani mtu ukikasirishwa na serikali sana, sana, sana unafanyaje?
 
Kweli bro, na mimi nimeshuhudia jioni hii wafuasi wengi wa chadema w.akiwa pale nje ya kituo cha polisi. FFU nao walikuwa wengi kwenye magari yao. sina hakika kama mbowe atahutubia kesho, maana hali si shwari tena


Mwanzo walituambia mkutano hautofanyika kwa sababu Polisi wa kulinda mkutano huo ni wachache.
Mara hapo tunaona Polisi wa FFU ni wengi wakiwa kwenye magari yao...
sasa je wametokea wapi?
Na kwa nini wasifanye kazi yao kesho?

Hii kitu inanikumbusha kwenye mkutano mmoja wa Chadema uliofanyika kwa nguvu Arusha.
Siku kadhaa kabla ya mkutano huo PoliCCM walikurupuka na kuupiga marufuku mkutano huo kwa madai kuwa Inteligensia imebaini kuwa kuna vurugu na machafuko vitatokea...

Watu makini wakawauliza kama Intelijensia imebaini its OK...jeshi la PoliCCM mje mfanye kazi yenu mlioajiriwa ili kulinda na kuhakikisha vilivyobainiwa na Intelijensia havitokei.

Kwa hoja hiyo PoliCCM wakaingia chaka na mkutano ukafanyika bila kutokea ushuzi wowote uliotabiriwa na Intelijensia.

Ila mi nawakumbusha tu watu wanaotumika katika mambo haya wakae wakijuwa ''MBALAMWEZI HAIKAUSHI MAHINDI''...

Yuko wapi Hussein Ally yule aliyekuwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini Kenya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2007?

Waliokuwa wanamtumia wako wapi?
Mbona ICC yuko peke yake na anasubiri adhabu peke yake?
 
Sasa kwani ccm ikiwa na mkutano chademachawaruhusiwi!au ccm wanaogopa watakosa watu? Hshaaaa hivi ccm bado tu wanafanya mikutano ?
 
Imedhihirika waz kwamba ccm inatumia ffu kuikandamiza chadema,yoteyayote mikutano utafanyika tu,atawapigerisasinamarungu
 
Utabaki tu na mavazo mgando yako..
Mmeshaambiwa siku hiyo CCM ina mkutano, kuweni na adabu, tafuteni siku nyingine mfanye mkutano wenu.

Ina maana 50 yrs ya uhuru bado hatuwezi ku-accommodate mikutano miwili tofauti ya vyama kwa siku moja kwenye mji kama Moro? Huko ni kujidhalilisha. Nadhani ccm mnaogopa kuaibika kwa kukosa watu tu.
 
Kitaeleweka tu hata kama policcm watabana kiasi gani.

Siku tukiingia madarakani hawa maRPC wanaojitoa akili watakwenda magogoni wakitembelea magoti huku wakibubujikwa machozi na kuomba radhi.
Badala ya kuendesha jeshi la polisi kwa weledi wao wameamua kufanya kazi kama makada. Mwisho wa huu ujinga umekaribia.
 
Back
Top Bottom