Gari la laki saba (700,000/=)

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,705
Reaction score
9,515
Baada ya kuwatapeli bandari zenu, nimefanya biashara kwa mafanikio na kutengeneza faida ya shilingi laki saba za kitanzania.

Nahitaji mtu anayeuza gari lake aniuzie kwa bei hiyo. Kuliko kukaa na gari bovu linalokugharimu kila siku bora uniuzie mimi. Nakulipa pesa yako yote, hakuna longolongo wala udalali.

Laki 7 unaweza kununua kiwanja kikubwa tu nje ya mji au shamba.

Karibuni.
 
Kwa Nini usinunue Wewe hicho kiwanja
 
Labda gari la mbao, engine ni nguvu zako.
 
Hakuna fasihi mkuu, ukisikia V8 la serikali linauzwa laki 7 uniambie okay?
Kuna ile minada ya serikali ya kuuza magari kila baada ya muda fulani na iko kikanda. angalia kanda ya eneo ulipo unapata hata kwa laki 5 chenji inayobaki utanitumia mkuu
 
Dennis Robert Shughuru you are not alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…