anobreezy
Member
- Oct 9, 2018
- 80
- 67
Mabaharia wenzangu, acheni tu wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petroli au dizeli.
Kaka kaniachia gari lake, yeye yupo nje kikazi toka mwezi wa tatu mpaka sasa navyoandika ujumbe huu.
Cha ajabu wanawake hawachomoi, sio wake za watu wala wanachuo. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kuna kitu waliongea kuhusu gari au mtalam Zero IQ unasemaje.