Gari la Kaka linanipa Wanawake wengi

Gari la Kaka linanipa Wanawake wengi

Mabaharia wenzangu, acheni tu wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petroli au dizeli.

Kaka kaniachia gari lake, yeye yupo nje kikazi toka mwezi wa tatu mpaka sasa navyoandika ujumbe huu.

Cha ajabu wanawake hawachomoi, sio wake za watu wala wanachuo. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kuna kitu waliongea kuhusu gari au mtalam Zero IQ unasemaje.
Mimi bado sina gari mkuu hapa sitii Neno, ila nakumbuka kuna jamaa yangu alipolwa demu na mwenye gari.
 
Acha ufala bhasi yani unajisifia gari ya kaka yako?? Pambana ununue yako mkuu kuna siku brother atakubania hapo ndo utaelewa
 
Mabaharia wenzangu, acheni tu wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petroli au dizeli.

Kaka kaniachia gari lake, yeye yupo nje kikazi toka mwezi wa tatu mpaka sasa navyoandika ujumbe huu.

Cha ajabu wanawake hawachomoi, sio wake za watu wala wanachuo. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kuna kitu waliongea kuhusu gari au mtalam Zero IQ unasemaje.
Mkuu usisahau akirudi huyo kaka urudi humu uanzishe uzi baada ya kupima afya kwa maandishi makubwa tu "GARI LA KAKA LILIVYONIUNGANISHA KTK GRIDI YA TAIFA"
 
Usinichukulie kiboya mkuu swala la afya nipo mkini
 
Mabaharia wenzangu, acheni tu wanawake kwa gari sijui wamebatizwa kwa petroli au dizeli.
Kaka kaniachia gari lake, yeye yupo nje kikazi toka mwezi wa tatu mpaka sasa navyoandika ujumbe huu.
Cha ajabu wanawake hawachomoi, sio wake za watu wala wanachuo. Haaaa noma sana mi nahisi nyoka na Eva kuna kitu waliongea kuhusu gari au mtalam Zero IQ unasemaje.
Angalia usiende adi kwa wake za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom